Ufufuo wa Kwanza Hutokea lini?

Ufufuo wa Kwanza ni nini? Katika Maandiko, ufufuo wa kwanza unahusu ufufuo kwa maisha ya mbinguni na ya kutokufa ya wafuasi wa Yesu watiwa-mafuta. Tunaamini kwamba hili ndilo kundi dogo alilosema juu ya Luka 12:32. Tunaamini idadi yao ni ...