Tutakwenda Nawe

"Tunataka kwenda nawe, kwani tumesikia ya kuwa Mungu yuko pamoja nawe." - Zekaria 8:23 [Kutoka ws 1/20 uk.26 Kifungu cha Somo la 5: Machi 30 - Aprili 5, 2020] Hii ndio nakala ya pili ya kusoma kwa kuandaa ndugu na dada kiakili kwa ukumbusho wa mwaka unaokuja ...
Stephen Lett na Ishara ya Coronavirus

Stephen Lett na Ishara ya Coronavirus

Video hii iko katika kitengo cha "Hapa tunaenda tena". Ninazungumzia nini? Badala ya kukuambia, wacha nikuonyeshe. Sehemu hii ni kutoka kwa video ya hivi karibuni iliyo katika mtandao wa JW.org. Ukitazama utaona ninaamaanisha nini ninaposema "hapa tunaenda tena". Ninamaanisha kuwa tumesikia mwito huu mbeleeni.Tuliusikia miaka mia moja iliyopita.Pia,tuliusikia miaka hamsini iliyopita.Matukio kila mara huwa ni yaleyale.miaka mia moja iliyopita Dunia ilikuwa vitani na mamilioni ya watu walikuwa wameuawa. Ilionekana kama mwisho ulikuwa umefika.Kwa sababu ya uharibifu uliosababishwa na vita hivyo kulikuwa na upungufu wa chakula katika sehemu nyingi za dunia. Kisha, kukawa na tauni ya kihispania katika mwaka wa XNUMX baada ya vita kuisha. Tauni hiyo iliua watu wengi kuliko vita iliotangulia. Watu wengine kama vile J.F. Rutherford walitumia matukio haya kutabiri kuwa mwisho wa dunia ungefika mwaka wa XNUMX. Inaonekana kama kuna mzunguko wa miaka hamsini ya ujinga huu. Kuanzia XNUMX, wakarudia mwaka wa XNUMX na sasa tunapokaribia mwaka wa XNUMX, Stephen Lett anatueleza kuwa,” bila shaka tuko katika mwisho wa mwisho wa siku za mwisho, tunapokaribia siku ya mwisho ya siku za mwisho. Wakati wanafunzi wa Yesu walipouliza kuhusu ishara ya siku za mwisho, jambo la kwanza ambalo Yesu aliwaeleza lilikuwa, “jihadharini kwamba mtu yeyote asiwaongoze vibaya.”(mathayo XNUMX:XNUMX). Yesu alijua kuwa kuogopa na kutojua kuhusu wakati ujao kungefanya iwe rahisi kwa watu walio na nia ya kujifadi wenyewe kutudanganya. Kwa hivyo jambo la kwanza alilotuambia lilikuwa ni, “jihadharini kwamba mtu yeyote asiwaongoze vibaya.” Lakini tungewezaje kuepuka kuongozwa vibaya? Tungefanya hivi kwa kumsikiliza Yesu na si mwanadamu. Yesu anaendelea na kutueleza zaidi. Anaanza kwa kutueleza ya kwamba, kungekuwa na vita,upungufu wa chakula,mitetemeko ya ardhi na kulingana na Luka XNUMX:XNUMX, XNUMX magonjwa.Lakini alisema tusihangaike kwa vile mambo haya yanafanyika kwa sababu, “mwisho bado haujafika.” Kisha akaongeza,“ mambo hayo yote ni mwanzo wa maumivu makali ya taabu.” Kwa hivyo Yesu ansema tunapoona matetemeko ya ardhi,magonjwa au upungufu wa chakula hatustahili kusema kwa uharaka kuwa, “Mwisho unakaribia! Mwisho unakaribia!” Anatueleza kuwa tunapoona mambo hayo tujue kuwa mwisho bado haujafika, hauko karibu; na kwamba mambo haya m mwanzo wa maumivu makali ya taabu. Ikiwa magonjwa kama homa ya corona ni mwanzo wa maumivu makali ya taabu, kwa nini Stephen Lett anasema kuwa yanaashiria kuwa tuko katika sehemu ya mwisho ya sehemu ya mwisho ya siku za mwisho? Jambo hili linafanya tuchague kukubali yale Yesu aliyotuambia la sivyo tukubali anayosema Lett. Ni kana kwamba tuna Yesu kwa upande wa kulia na Lett kwa upande wa kushoto. Wewe utatii nani? Katikati ya watu hawa wawili, utamwamini nani? Sehemu ya mwisho ya siku za mwisho kwa ukweli ni siku za mwisho za siku za mwisho. Hilo linamaansha kuwa, Lett anajaribu sana kutuambia kuwa hatuko tu katika siku za mwisho za siku za mwisho mbali tuko katika siku za mwisho za siku za mwisho za siku za mwisho. Bwana wetu Yesu alijua kuwa onyo kama hilo tu halikutosha. Alijua kuwa hofu inaweza kufanya tudanganywe kwa urahisi na mwongo yeyote yule anayedai kuwa na majibu yanyohusiana na jambo hili. Kwa hivyo, alietuleza mengi zaidi. Baada ya kutueleza kuwa hata yeye hakujua angekuja lini, alilinganisha jambo hili na siku za Noa. Alisema kuwa katika siku hizo, “ hawakujua mpaka gharika ilipokuja na kuwafagia wote.” (MathayoXNUMX:XNUMX BSB). Ili kuhakikisha kuwa hatufikiri alikuwa akizungumza kuhusu watu ambao hawangekuwa wafuasi wake, alituambia kuwa, “ Kwa hivyo, endeleeni kujillinda kwa sababu hamjui ni siku gani bwana wenu anakuja.”(Mathayo XNUMX:XNUMX). Labda unafikiri kuwa onyo hilo lilitosha, Kulingana na Yesu halikutosha kwa sababu aliendelea na kusema katika mistari miwili inayofuata kuwa atakuja katika saa tusiomtarajia.” (Mathayo XNUMX:XNUMX NIV) Inaonekana baraza linaloongoza linamtarajia aje. Kwa zaidi ya miaka mia moja, viongozi wa tengenezo la mashahidi wa Yehova wamekuwa wakitafuta ishara za kuja kwa kristo na kuwaongoza watu wafikirie kuwa mwisho unakuja hivi karibuni kwa sababu ya mambo waliyoona kama ishara.Je, jambo hili linafaa? Je jambo hili linaletwa na kutokamilika kwa wanadamu wanaotutakia mema? Yesu aliesema haya kuhusu watu waliofuatilia mtindo wa kutafuta ishara: “Kizazi kiovu na chenye uzinzi chafuliza kutafuta ishara,lakini hakuna ishara kitakayopewa isipokuwa Ishara ya Yona nabii.”(Mathayo XNUMX:XNUMX) Nini nini inayoweza kufanya wakristu wa wakati huu kuwa wazinzi? Kwa mfano, wakristo watiwa mafuta ni sehemu ya bibi harusi wa Kristo.Kwa hivyo, kushirikiana kwa ukaribu kwa miaka kumi na hayawani mwitu wa kitabu cha ufunuo ambaye mashahidi husema ni Umoja wa mataifa kunaweza kuwa dhibitisho la uzinzi. Pia ni uovu kuwafanya watu wapuuze onyo la Yesu kwa kujaribu kuwaambia waamini ishara zisizo na maana. Jambo hili linafanya tujiulize kile kinachochochea viongozi kama hawa wafanye jambo kama hili. Kama Mashahidi wa Yehova wote watafikiri kuwa baraza linaloongoza lina uwezo wa kuona kimbele kupitia mambo yanayotukia hivi sasa, na kutabiri jinsi tulivyokaribia mwisho wa mfumo,na kutupa habari inayoweza kuokoa uhai wakati ukifika,basi watafuata mwongozo wa baraza hilo kwa upofu na kutii jambo lolote wanaloambiwa wafanye na tengenezo hilo. Je hilo ndilo lengo la viongozi wa tengenezo hilo? Tukizingatia kuwa wamefanya hivi mara nyingi mbeleni, na kila mara wakakosea,na tukizingatia pia kuwa sasa wanatuambia kuwa homa ya corona ni ishara ya siku za mwisho, wakati Yesu anatueleza kinyume na hilo basi je- hili linawafanya manabii wa uwongo? Je, kuna uwezekano wanajaribu kutumia hofu iliyoko kwa sasa kwa sababu ya ugonjwa huu ili kujifaidi? Jambo hilo ndilo nabii wa uwongo hufanya. Bibilia hutueleza hivi: “ Ikiwa kile nabii anatangaza kwa jina la Yehova hakikutokea au kutimia, huo ni ujumbe ambao Yehova hakusema. Nabii huyo amesema kwa ujuaji. Musimwogope.” (Kumbukumbu La Torati XNUMX:XNUMX) Inamaanisha nini inaposemwa, “Msimwogope?” Inamaanisha hatustahili kumwamini. Sababu ni kuwa tukimwamini, tutaogopa kupuuzilia mbali onyo lake. Kuogopa kupatwa na matokeo ya utabiri wake kutatufanya tumfuate na kumtii. Hilo ndilo lengo kuu la nabii wa uwongo: kuwafanya watu wamfuate na kumtii. Kwa hivyo unaonaje? Je, Stephen Lett anayeongea kwa niaba ya baraza linaloongoza anatenda kwa ujuaji? Tunastahili kumwogopa? Tunastahili kuwaogopa? Au tunastahili kumwogopa Kristo ambaye hajawahi kutuvunja moyo ama kutuongoza kwa njia isiyofaa hata mara moja? Kama unafikiri ujumbe huu utawafaidi marafiki na familia katika tengenezo na kuingineko tafathali uuweke katika mitandao ya kijamii. Ukitaka kufahamishwa kuhusu video na makala zijazo jisajiri. Inagharimu pesa kufanya kazi hii, kwa hivyo ukitaka kusaidia kupitia mchango wa hiari, nitaweka kidude ubonyeze hadi kwa beroeans.net mahali ambapo unaweza kufanya mchango. Asante kwa kutazama.

Je! Unamjuaje Yehova?

“Wale wanaolijua jina lako watakutegemea; hautawaacha kamwe wale wanaokutafuta, Ee Yehova. ” - Zaburi 9:10 [Kutoka ws 12/19 p.16 Kifungu cha Somo la 51: Februari 17 - Februari 23, 2020] Ili kukupa chakula cha fikiria kama Shirika la Mashahidi wa Yehova ...

BWANA Anakutolea Uhuru Wako

"Lazima ... utangaze uhuru katika nchi kwa wenyeji wake wote." - Mambo ya Walawi 25:10 [Kutoka ws 12/19 p.8 Kifungu cha Somo la 50: Februari 10 - Februari 16, 2020] Nakala ya juma hili inakubalika hadi tufike aya ya 12 ambapo tunatambulishwa kwa dhana ...
Je! Mashahidi wa Yehova wamefikia Kidokezo?

Je! Mashahidi wa Yehova wamefikia Kidokezo?

Wakati Ripoti ya Huduma ya 2019 inaonekana kuashiria kwamba kuna ukuaji unaoendelea katika Shirika la Mashahidi wa Yehova, kuna habari za kutisha kutoka Canada kuashiria kwamba takwimu zimepikwa na kwa kweli shirika hilo limepungua kwa kasi zaidi kuliko vile mtu yeyote alivyofikiria .

"Maliza kile Ulianza Kufanya"

"Maliza kile ulichoanza kufanya." - 2 Wakorintho 8:11 [Kutoka w. 11/19 p.26 Kifungu cha Funzo 48: Januari 27 - Februari 2, 2020] Ikiwa ulifikiria juu ya kile umeanza lakini haujamaliza, ungefanya nini? Kukumbuka kwanza? Je! Hiyo inaweza kuwa ukarabati mpya wa chumba katika ...